2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hapana. Ni kwa sababu USA ni wazuri safari hii.
Daah, aisee sio Kidogo. Nimeangalia kuanzia Defence yao, Midfielders ambayo ndio wachambuzi walikuwa na wasiwasi nayo...huyu sijui Mackenzie na Pulisic ni hatari na nusu....Forward lines nayo ina kasi ya umeme...
Ni wazi USA wamejiandaa sana na wanaweza fika mbali sana...tupo hapa
 
Back
Top Bottom