2026 FIFA World Cup - Special Thread

Shosti pole sana. Halafu sasa sikumbuki kukuquote wewe,yaani unawashwa washwa sana na pia ni kama ulipania kuchat nami aiseeeeeeee hapo ulipo roho kwatu kuchat na numby. Mbeleko fc. Ikikuuma kanye boga
Kumbe huwa unakunya maboga unazani na mimi nooo.

Ok Mrembo Numbisa ngoja niache kuchat na wewe cuz huna cha_kunambia naona unapiga umbea tu.

Sisi mbeleko fc tupo fainali and we make a another big history and you have nothing to proud off zaidi ya umbea umbea tu.
 
Hawana hoja hao ..hawajui Mpira..sasa hivj wanasema Coach kahongwa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kuna watu wanafikiri baada ya England kutolewa labda ntakosa team,.nataka niwatoe hofu kwamba kwa sasa nipo Argentina
Tukutane tarehe 19, saa nne usiku
Viva Argentina ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
If you can't beat them, join them. Hร kuna namna nyingine ya kufurahisha nafsi yako.
 
Na kulalamika kua hapewi pasi,
Argentina huwezi kusikia malalamiko kua Messi hapewi pasi coz yeye ndiye anaye wapasia.
Hilo sio tu fungaji ni li Player Maker..kuna kima zile zilikuwa zinabwabwaja๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Messi ni Mpira na Mpira ni yeye..

Waliohamia SPAIN wajipange...

Nimefurahi sana mana Misri si alionewa wakatuma vijola Uingereza๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ