Yale yalee...same diseaseStratus England ni mbovu sana!
Huwezi kushinda mechi kwa kujihami tu.
Especially kama washambuliaji ni wazuri, lazima watafunga tu.
Sijui ni akili gani tu ambayo hutumika kuamua kucheza mchezo wa kujilinda tu.
England wanatolewa.
Aaah refa kaongeza dk 9 ndio maana😆😆😆😆Tunabebwa sana, ona sasa hizi penati mbili zimeturudisha mchezoni😂😂
Yooh !! 🤣🤣Msiwe mnaangalia Sofa ScoreJanjajanja zimefika mwisho
Bado mtoto wetu Jude Bellingham hajawaweka kingine
IngekuwaHii mechi ingekuwa ufaransa tungeimaliza mapema sana
Hapana hatuwezi kufuta kauli maana kucheza na Messi sio kipimo labda ingekuwa timu nyingine isiyo na MessiWale ambao huwa tunalaumu timu za Africa zinakata moto mida ya jioni leo inabidi tufute kauli. 🤣🤣
Nao watachezea