Vijana wako vizuri sana leo!Mapema kabisa USA hamtaki mchezo kabisa.
Ngoja niwashe tvMapema tu linarudi
Leo USA kwenye hii nusu ya kwanza wanacheza vizuri sana.Nipo mkuu, nimeiona hiyo Kazi nzuri sana iliyofanyika hapo.
2-0
😂😂😂😂Chumaa cha Tatu...