min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,634
- 164,930
Hakika ,wanaume hatujawahi kuacha kunyonya.Ulikuwa bado unanyonya ausio!!
Hakika ,wanaume hatujawahi kuacha kunyonya.Ulikuwa bado unanyonya ausio!!
Bange za usiku sio nzuri ujueHakika ,mwanaume hatujawahi kuacha kunyonya.
Yeah Nisaidie hio link nistream sina namna
Sub zimebadilisha mpira. Yule David hakuwa mchezoni.Nilisema hapa sub za canada noma
Tayari umetoa, 1-1 nimekula laki6 tuma namba nikutumie hata elfu3 ya chai unaonekana una njaa sanaMKEKA wako uchanike nifurahi hapa
Tupo pamoja mkuu 💯
- Alipo Ronaldo nipo
- France
- Brazil
- Hapa na timu zingine za Afrika isipokuwa Afrika Kusini na Morroco
Vipi umeamka?Hii ya US na Paraguay nitaamka niicheki.