We jamaa kazi ya uwakili unaiweza.Hamna vurugu. Pressure tu. Baada ya dk 15 hali itatulia, na tutaanza kuona kandanda.
Acha Mkuu watasema ni haterMwamuzi kameza filimbi
Amekufananisha tuu😂😂Hahahaaa. Hapo sitii neno mpaka aje mwanasheria wangu Greatest Of All Time.
Mtani eti mi toka lini nikaisema vibaya Argentina? 😀
😂😂Mwamuzi kameza filimbi
Kwamba mimi ni Hater wa Messi?Kuna watu humu huwa hawaingii kwenye huu uzi ila wakiona tu Argentina imefungwa basi wanajaa humu kibao. Ngoja niwaite wabaya wetu, team roho mbaya waje waone shoo za mungu Messi... Naomba leo afunge goli moja tu
Numbisa huyu ndo certified hater
Espy_
Makiwendo
Shadeeya
Angel Nylon
Depal
Wengine nimewasahau...
View attachment 3629780View attachment 3629781
hii game haitulii now.Leo kazi ipo mamaeh
Sema mkuu kama hujaoa mpk leo usioe.. unalalamika kama Wapemba na waunguja.