Kisouda
Senior Member
- Jun 9, 2026
- 162
- 526
KWenye kundi zinapita timu ngapi?1-1
Shida ni nini?
Shida sio game ya Congo, shida ni kwamba kundi lilikuwa gumu kwasababu kulikuwa na timu 2 kubwa nitajie kwenye kundi lenu la Kikoba ni timu gani ilikuwa kubwa?
Sasa ugumu uko wapi hapo?? Haya wewe na Colombia timu ipi ilikuwa inastahili zaid nafasi ya kwanza??
Mmeshindwa kuipata nafasi ya kwanza kwa uzuzu wa Ronaldo ila pro Ronaldo mnalificha hili.