Ndioo wacheze upuuzi.Hii ndo maana halisi ya mtoano
Wale wa jana ndo waliingia uwanjani kucheza mpira ila wa leo wamekuja kutoana tu
Unapenda sana robbery?Sema mkuu kama hujaoa mpk leo usioe.. unalalamika kama Wapemba na waunguja
Matumaini yapo kwa ndugu zako?Yes babe!!!
Sisi tunajua fainali badoFainali ilikuwa jana na Bora muombe Argentina ndio ila akiingia England watajuta
Vinatembea viatu🤣Ni mpambano haswa
Mechi imekuwa tough sana