Msouth Africa Upo kumbe 😂canada looks serious today, i hope they wins this
ngozi nyeusi kazingua paleWashapigwa kimoja
Hawa bosnia timu za africa wanazigonga vizuri tuu.Kabisa
Kumbe umeiona ile, Mwamba Kazingua.Mtu mweusi bhana kashindwa kutoa assist
Hivi vinchi vilivyotoka kwenye uliokuwa muungano wa Yugoslavia vinajua mpira. Na vibawachezaji wengi wenye vipaji. Japo ni vinchi vidogo lakini ukikutana navyo unaweza lala na viatu. Even Kosovo.