100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,115
- 36,173
Hii ya US na Paraguay nitaamka niicheki.
creativity wanayo, composure ndo wanakosa. watulize kichwa, goal hizi hapaWachezaji wa CANADA hawana Creativity kabisa, wanafika Golini hawajui wafungeje🤣
Mpaka wanaboa sheikh
Mikoromboko tuu hii...ngoja round ya 16 ndio tutaona timu za ukweliWachezaji wa CANADA hawana Creativity kabisa, wanafika Golini hawajui wafungeje🤣
Mpaka wanaboa sheikh
Wazungu wagumu hao wamechafukwa damuHawa BOSNIA sio wanyonge
MKEKA wako uchanike nifurahi hapaCanada nae apate goli mkeka uendelee kupumua
Naombea US akutane na Iran katika hatua yeyote ileHii ya US na Paraguay nitaamka niicheki.
Washa kibatari😅Ngapi ngapi huko??? TANESCO washafanya yao
Ushalewa weyeWasha kibatari😅
Mambo ya kukata umeme unakumbusha kifo cha mwalimu nyerere 1999😀Ushalewa weye
Moja bila Bosnia anaongozaNgapi ngapi huko??? TANESCO washafanya yao
Sante sana kwa mwongozo!Moja bila Bosnia anaongoza
Ulikuwa bado unanyonya ausio!!Mambo ya kukata umeme unakumbusha kifo cha mwalimu nyerere 1999😀
Iran akishinda hatoki usa...wanapelekwa gwantanamoNaombea US akutane na Iran katika hatua yeyote ile
Yeah Nisaidie hio link nistream sina namnaKaribu mkuu...
Nikupe link uchek