2026 FIFA World Cup - Special Thread

So leo FIFA na Infantino walimfevor Olise.

Halafu hujanijibu hili swali,maana picha ya tatu umepost wewe.

"Nimekuuliza Argentina alicheza na Uholanzi 2026,maana picha ya tatu ni beki ya Uholanzi Ake na hapo ilikuwa kwenye boksi la Uholanzi bila shaka, sasa wewe ulitakaje kwenye hiyo picha refa afanyaje."
 
Olise amekuwa favoured na refa hilo ni kweli, na pengine ulitegemea kuona mimi nikibisha ili upate cha kusema lakini imekuwa tofauti.

FIFA na Infantino ni watu ambao wana ushikaji wa kibiashara hadi kishabiki.

Infantino anaumia Argentina kufungwa, je hili unalijua? (Nataka ujibu hapa)

FIFA tayari wanahusishwa kwenye kashfa ya utakatishaji fedha ambao umefanywa na Claudia Tapia, je unafikiri hii ni bahati mbaya?

Incident ya Olise huwezi kuielezea kwa kuunda pattern hizi ambazo mimi nakuwekea.
 
2022 hiyo moja ya tukio tata sana kwenye mechi kati ya Netherlands na Argentina.

Nimeweka hilo moja tu ambalo nilitaka unipe comment yako kuhusu taaluma yako au uelewa wako wa refarii, hiyo ungeitafsiri vipi.
 
Nikitumia pattern unazo tumia wewe basi hata kwa Olise ni vilevile tu anabebwa na FIFA na Infantino.

Halafu hii picha nimekuuliza unafanya kama huioni,wakati umeileta wewe.

Nimekuuliza Argentina alicheza na Uholanzi world cup hii ya 2026?,maana picha ya tatu ni beki ya Uholanzi Ake na hapo ilikuwa kwenye boksi la Uholanzi bila shaka, sasa wewe ulitakaje kwenye hiyo picha refa afanyaje.
 
Sio shida kuwa shabiki wa CR7 cuz ni mchezaji mzuri sana kila mtu Duniani anatambua hilo.

Shida ni wewe pusi mnuko kuja kuandika ujinga hapa na kumdharau Messi na Argentina πŸ‡¦πŸ‡·.
Achana nae huyo hajui mpira, anampenda Ronaldo kwa kuwa ni mzuri wa sura πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Onyesha mtiririko wa hizo pattern sio unaongea tu.

Umeona kama hapo mimi nimekuanzia mbali tangu 2022

Na ninaweza kukuambia hata kipindi Messi anatangaza kustaafu nikakuungia dots zinazo link na hii corruption ambayo tunaiona saizi.
 
Nimekujibu kwenye post iliyofuata soma vizuri tena.

Messi ni FIFA Princess, kubali ukatae.
 
Kuna mtu anataka kumtetea Messi kwenye hii corruption, robbery, scamming etc inayoendelea.

Sijajua kwanini huyu jamaa kachagua kazi ngumu namna hii.

Ngoja tuone, hii sio tu mimi inanishangaza. Naamini hata Messi mwenyewe akisikia kuwa kuna mtu amejitolea kumtetea atashtuka.
 
Onyesha mtiririko wa hizo pattern sio unaongea tu.

Umeona kama hapo mimi nimekuanzia mbali tangu 2022

Na ninaweza kukuambia hata kipindi Messi anatangaza kustaafu nikakuungia dots zinazo link na hii corruption ambayo tunaiona saizi.
Wewe si unasema Messi anabebwa na FIFA pamoja na Infantino kisa alimkanyaga mchezaji wa Algeria, so hii ndio pattern iliyo tokeo leo vipi Olise nae anabebwa na FIFA pamoja na Infantino.

Sawa hii picha huyo ni Ake beki ya Uholanzi na hapo kwenye boksi la Uholanzi. Ulitaka refa afanye nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…