ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,363
- 41,160
Umekula?Niite Pedro Wizzy Oyarzabal ππ₯± uran ShesRise_1
Basi utapata Sonona La Pulga akinyanyua hilo kombe .Sihitaji faraja kutoka Latin America
Au sioSpain kwa Ufaransa hii ana kibarua kigumu ..
Jiandae kwa maumivu ya fainali.
Imebaki nafasi ya bia tu hapa karibuUmekula?
Akiwa amelewaaaaMbappe ataangalia final akiwa amekaa kwenye sofa.
Mimi bado naaminiπKavu imepenya dahhh!!!
Rasmi Nimehamia Spain
Spain wapo vizuri, leo wamefanya matusi ya mpira mbele ya timu iliyopewa asilimia kubwa ya kuchukua kombe hili.Subiri kwanza umjue mpinzani wake .
De schamps kocha wa France ameshinda kombe la dunia kama mchezaji (1998) na kocha (2018).Spain kocha wanae, huyu wa France hamna kitu
Haya maliza kalaleImebaki nafasi ya bia tu hapa karibu
Mkuu hii comment yako nilii mark. Pole sana kwa Ramli Za mkopo π€£π€£π€£Kipindi Cha kwanza tuliwaacha Spain wacheze Ili kuusoma mchezo. Kipindi Cha pili ndio kipindi Cha mauwaji.
Tamu ?Kavu imepenya dahhh!!!
Kwasababu wewe hauwagi refa kama ulivyokuwa leo.Sasa mbona wewe unakuwaga refa kwenye muamuzi wa matukio ya Argentina au ikiwa Argentina unakuwaga refa ila leo ndio mtazamaji?
Ile Penalty kabisa bila shaka Digne alikosea mahesabu ya kucontrol mpira.
Dogo ana miaka mingi sana ya kutengeneza 'legacy' yake kama Messi.Yamal kabakiza Uefa na ballon d'or
Euro &WC tayari
Dogo anaweza kumaliza boli katika umri mdogo sana.
Ulii support Spain toka mwanzo ?Spain πͺπΈ πͺπΈ
Mwanzo mwisho ht iweje
Sio mbaya maana yake na mimi hapo katikati nitakuwa nimefurahia Argentina kutolewa.Mtakutana na hawa Spain fainali wawatundike tena