The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,887
- 117,058
Remained 120 minutes for France to go home.Remained 30 to go.
Remained 120 minutes for France to go home.Remained 30 to go.
so bwana tuchel kuweka history kuwa the first foreign coach to win a world cupBingwa England
Hii comment ilitakiwa iende kwenye jukwaa la vichekesho.Bingwa England
😀 it's time to say Goodbye.Remained 120 minutes for France to go home.
Why mkuu?Spain vs Argentina I don't wish this to happen,sitaangalia mpira *****
Usiku wa kulia sio?Usiku wa Mbappe
Na mwenzie Kane akiwa amekaa kwenye kigoda.Mbappe ataangalia final akiwa amekaa kwenye sofa.
AiseeeeBaada ya mechi kuisha kama Spain atafungwa wachezaji watalia uwanjani kisha wanaenda changing room. Kila kitu kinaishia hapo wanarudi makwao wanalipwa posho zao vizuri na wanaendelea maisha kama kawaida. Mimi hapa nabaki na maumivu balàaa wiki nzima nabaki narushiana maneno na Scars. Wakati huo wachezaji waliotolewa wapo vacation wanakula bata wala hawawazi.
Sasa kwanini niteseke kisa wametolewa.... Fvuck them, wafungwe wasifungwe non of my business. They don't know me, Thay don't give a shit about me.
Yo!, Just me working on Defense Mechanism 🫣🫣🫣🫣
View attachment 3629200
Usiku wa Mbappe kujiwekea rekodi mbalimbali.Usiku wa kulia sio?