denoo G
JF-Expert Member
- Apr 4, 2026
- 1,015
- 3,138
Ndio maana huwa napenda mashindano yafanyike Afrika au ulaya kwasababu ya muda.Hadi saa saba usiku.
Mfano Brazil vs Morocco
Ndio maana huwa napenda mashindano yafanyike Afrika au ulaya kwasababu ya muda.Hadi saa saba usiku.
Mfano Brazil vs Morocco
Nimehuzunika Italy kutokuwepo, daah.Kwa africa nipo Tunisia, kwa dunia naanza na Germany kisha Brazil na mwisho kwa malkia. Ufaransa japo wanapewa chapuo la kunyakua ubingwa ila siko pamoja nao. Ila laiti timu yangu ingekuwepo ningeishabikia Italia.
kwani hayo mashindano yanasimamiwa na hao CIA/FBI?Shusheni vikosi basi ambavyo tayari vishakuwa confirmed mfno Brazil na Ufaransa(France) tayari..
Ila kombe la Dunia hii, timu kivutio zaidi na itafuatiliwa sana sana mpaka nje uwanja, watachukuliwa mpaka mkojo nk na CIA/FBI, mnajua ni timu ya taifa Gani Hilo??