2026 FIFA World Cup - Special Thread

MPAKA KUFIKA FAINALI HII GAME YA 8 SPAIN ANAENDA KUCHEZA KARUHUSU GOLI MOJA TU.
 
Barcola na Tchou ni wachezaji hewa. Kocha alijichanganya kuwaacha nje Doue na Kone. France chupi inaloa wakisikia tu Spain.
 
😆😆
 
Mkuu nimegundua watu wengi humu hawajui mpira, wanaendeshwa na mihemko. Unaanzaje kumchukulia poa bingwa wa Ulaya? Inashangaza sana
 
Utateseka sana mwaka huu 😂
Siku zote mimi napenda njia ngumu

Kama hauna kifua usiniige, kaungane na ukoo wa Infantino huko ni asali na maziwa ila kwa kesho nina mashaka huwenda ikawa ni mchicha na magimbi.
 
Barcola na Tchou ni wachezaji hewa. Kocha alijichanganya kuwaacha nje Doue na Kone. France chupi inaloa wakisikia tu Spain.
Hata angeingia yeye mwenyewe Deschamps hakuna mahali Ufaransa ingeifunga Spain.

Ufaransa first half walikuwa wanacheza kama vile wao ndio wanaongoza moja na sec half walikuwa wanacheza kama vile wao wanaongoza 2 ukiacha hizi dakika za mwishoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…