moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,368
- 775,926
Ningependa Spain ikutane na France tuone udambwi dambwi wa mafundi wa pande zoteHii match Spain inatoka, sitengui kauli..
Ningependa Spain ikutane na France tuone udambwi dambwi wa mafundi wa pande zoteHii match Spain inatoka, sitengui kauli..
Ili akawatoe wakina alvarez 😄 hawana ubavu huo babuNilitamani Colombia wafuzu robo.
Nani huyo? Olmo, yamal, cucurella, rodri au pedri?Unajua kuwa hawa spain wana mchezaji mmoja tu
Nani huyo? Olmo, yamal, cucurella, rodri au pedri?
Sahihi kabisaAisee game tamu...
Hawa belgium wahakikishe wanapeleka mipira kwa de kitalare alafu washinde mpira wa piri watawasumbua sana spain. Wasihangaike na kucheza kutoka nyuma....wao game waanze kulicheza kwenye half ya spain watapata magoli na wakimuingiza lukaku ndio kabisa
Na hao wengine je??Yamal
3-1Lakini Spain wakiwa kwenye ubora wao hawana tabia kutoa vichapo virefu kwa wapinzani wake.
Unakula chuma moja kisha wanacheza na mpira mpaka utafurahi
Kwahiyo hata Kipa hawana sio?Unajua kuwa hawa spain wana mchezaji mmoja tu
Kwahiyo hata Kipa hawana sio?