Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,535
- 61,968
Nyie vibaraka wa ureno fainal mtachagua mkae upande upi kati ya Spain au Argentina
Ngoja tusubiri!Watatolewa na England kwa mujibu wa mkuu uran
Potelea mbaliUkijichanganya kuishabikia England furaha yako itakaa kama status whatsapp yaani masaa 24 tu
Ulimpigia simu?Nimeusoma mchezo kipindi cha kwanza ,nimetoa ushauri humu , now siangalii tena game nakula pombe , kama hajafuata atapingwa kama ngoma
Mbape kama hawezi kufunga ili amzidi Messi, basi ajitahidi hata kujifunga afikishe goal 10 🤣
Nafikiri unaonaTimu iliyokuwa inapewa nafasi kubwa kuchukua ubingwa ni Spain
Hapa ndio hata mimi nilishangaa yani Spain anapewaje nafasi ya juu kumzidi France?
View attachment 3616440
Match imeisha hii mpaka hatua hii Spani karuhusu goli 1 tuMambo magumu ila matumaini bado yapo.
Hii mechi nilisha imaliza uchambuzi wake kipindi cha kwanza kilicho baki hapa ni wale wa imani za Kichawi bwasheeUlimpigia simu?