Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,582
- 9,125
Watapigwa hata 4 wasipoangalia. Jitihada zao dhaifu sana..
Mikakati kombe limekuwa Scripted😀😀😀Ufaransa leo imekuwaje tena?
Si kwamba Spain ni hatari?Bwashee kocha jinga hili
Hawana hizo akili zote zimekaa kuwasema Argentina😀😀Africa waje wajifunze hapa, wenzao wakiongoza 2 wanafanyaje.
Safari imeivaKiutani utani hivi hivi utashangaa france anarudi nyumbani 🙄
OffsideHuu sasa ni usenge
Kwamba Nan abebe?Mikakati kombe limekuwa Scripted😀😀😀
Mkuu mipangoSpain wachawi sana
🥹 aibuuWakuu hivi nnachokiona ni kweli au naota🤔
Nimeusoma mchezo kipindi cha kwanza ,nimetoa ushauri humu , now siangalii tena game nakula pombe , kama hajafuata atapingwa kama ngomaSi kwamba Spain ni hatari?