Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,789
- 20,970
Kante naye apewe hata dk 15.
Huwezi kuijaribu suti mpya siku ya harusi.Kante naye apewe hata dk 15.
Akinyanyuka mi nitakagua sitiGame plan. Ataingia dk 65 kuja kumaliza game.
Leo umebugiFrance 🇫🇷
Kuumia ni kwa zamu...😃😃😃Ninahofu sana hii mechi ya leo...inaweza niachia maumivu makali sana so I'm working on defense mechanism ya akili yangu. Natamani sana Spain apite
Binafsi natamani iwe hivi...Final
Messi Vs Lamine
Mi nawapenda wote ila kwa leo nipo kwa mbape 🔥Leo umebugi
Umetumwa???Mi nawapenda wote ila kwa leo nipo kwa mbape 🔥
Ni kwelidah sie walevi wa mpira jana ilikuwa siku mbaya sana jamani....vipi wezangu mlipitishaje muda jana
Spain na Argentina nyie mtacheza kumtafuta mshindi wa tatuAll the best HASPAIN, mashabiki wa Argentina na Barcelona tupo nyuma yenu.
Hakuna lisilowezekana chini ya juaso bwana tuchel kuweka history kuwa the first foreign coach to win a world cup
yetu macho
Mbappe vs Kane.Final
Messi Vs Lamine