Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,386
- 110,090
Ninahofu sana hii mechi ya leo...inaweza niachia maumivu makali sana so I'm working on defense mechanism ya akili yangu. Natamani sana Spain apiteLeooo Kazi ipo!!!
Ninahofu sana hii mechi ya leo...inaweza niachia maumivu makali sana so I'm working on defense mechanism ya akili yangu. Natamani sana Spain apiteLeooo Kazi ipo!!!
Blatter hakukosea. Christiano anamzidi Messi urembo 😂CR7 Handsome bana. Yaani ni ile handsome,rich,tall etc kakamilika kila idara aiseee
Hao wachezaji wote wanamzidi ubora Christiano.
Wanachapika leoCoach kawaacha nje Pedri na Nico Williams. Anawaza nini... I don't think Baena ni threat kwa france .
Ila ngoja tuone...
View attachment 3629236View attachment 3629237