Doria Mtandaoni
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 324
- 670
Hawa wachezaji sijui huwa wanavuta bangi. Wanajua kabisa VAR ipo kisha wanaleta ujinga ujinga, hudhani marefa watawaachia.?Haya red huko 😂😂😂
Hawa wachezaji sijui huwa wanavuta bangi. Wanajua kabisa VAR ipo kisha wanaleta ujinga ujinga, hudhani marefa watawaachia.?Haya red huko 😂😂😂
Walisingizia wanaamkia kanisani misa ya kwanza ila GOT anawachanganyaWatu wamelala kesho wakiamka tu Argentina kabebwa😂
Nipe maoni yako kuhusu redDah!!
Acha avune alichopandaHawa wachezaji sijui huwa wanavuta bangi. Wanajua kabisa VAR ipo kisha wanaleta ujinga ujinga, hudhani marefa watawaachia.?
Bora hata angeguswa! Ujinga ujinga mwingi.Hawa wachezaji sijui huwa wanavuta bangi. Wanajua kabisa VAR ipo kisha wanaleta ujinga ujinga, hudhani marefa watawaachia.?
Emboli na mboli lake kapania sana hii game bila kujua kuna VAR mwisho kaliwa red cardPenaldo njoen mseme hii red card wameonewa
Embolo analeta umaza faka ili tupate red card. Sasa kapata yeye.Watu wamelala kesho wakiamka tu Argentina kabebwa😂
Mjinga sana, ana akili za wacjezaji wa NBC PLEmbolo analeta umaza faka ili tupate red card. Sasa kapata yeye.
Mimi nimekuuliza red card, mwezangu unaanza kulalamika 😂😂Yakujitakia hiyo...
Anyway nyie mnashinda kwa bahati sana game zenu.
Wala msijione kuwa mnacheza ball
Ndio maana siku hizi kocha hamchezeshi dk zote.De poul pumzi imekata.
Kwa akili zile wacha Argentina 🇦🇷 indelee kuwakimbiza hawa vilomo lomo.Mjinga sana, ana akili za wacjezaji wa NBC PL
Embolo ni malaya wa kiswizi.Embolo ni Mataqo kweli kweli😄
Haya wajukuu wa Cristiano Urojo njooni