2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Coach wa Argentina anawaambia akina Messi 🐐 waache kuremba wapeleke moto goli la 2 lipatikane kabla ya halftime
 
Dah pole kamamaa, dawa ya jino wanasema kuliondoa tu.

Miaka ya nyuma kuna uzi humu mwamba mmoja aliupandisha jinsi jino lilivomlaza uvunguni, uzi unachekesha sana japo sio jambo la kucheka 😅

Mi nimeamka sababu nasafiri na SGR ya kwanza .
Aah ok, safari njema..

Dawa sio kuliondoa jmn, tutaondia mangapi?
5 nimetoa🙌🙌
Ni vile sijapata tu watu waxuri wa mitishamba sshv wengi feki mpk umpate wa ukweli ni kipengel...😃
Nitafanya ile ya kuua mizizi kutoa tena hapana aisee
 
Pole kama umetoa inatosha, kwetu singida wanatibu kienyeji kwa ndulele (sijawahi ona nasikia tu) unaambiwa halitakaa liume tena.

Asante.
 
Back
Top Bottom