comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,651
- 17,871
Leo mechi au miaka 30 ya bongoflava?? Chief rumanyika soggydoggyanter kwa stage now 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Basi hapo Claudia Tapia akiona hivyo tumbo joto.View attachment 3626579
Tupo tunawakagua Argentina na wote waliowahi kulalamikiwa na wapinzani wao.
Serious FBI wapo ndani na wameshaanza kazi yao.Basi hapo Claudia Tapia akiona hivyo tumbo joto.
Na usikute Belgium waliomba huu ulinzi walau kipara aogope
Hata kama mtashinda!
Hamtawashinda France
Kati yao mwepesi ndo apite ikawe rahisi kwa France!Team zote hizo jau...
Karibu sana kiongoziNatangaza rasmi nimehamia ufaransa...
Yeah leo sina naeshabikia japo natamani kati yao mwepesi apite ikawe mserereko kwa UfaransaUko kwa yoyote?
Spain wana midomo sana
Tuko pamojaNdugu zangu England
Siku zote fainali ni fainali.Njia ya France kwenda final ngumu,imagine anaenda kukutana na Spain tena