Unasema ukweli kuwakomoa timu GOTMpaka sasa uwezekano wa Belgium kukalia ni mkubwa
Ufaransa wako vizuri mkuu
Sema tena kuhusu hilo.Pedri hajaanza leo, sijui ni game plan au ana discomfort. Simuamini kabisa Fabian Luiz. Mungu atusaidie leo
View attachment 3626571
Ndiyo mchezo wao wa asili huoSpain wanalemba sana mpira
Naona washatiwa moko hapaMpaka sasa uwezekano wa Belgium kukalia ni mkubwa
Ufaransa hi kisiki cha mpingoHata kama mtashinda!
Hamtawashinda France
Ngoja tuoneNdio hivyo.
Wamezidiwa mno
Ofcoz Ofcoz!!Ufaransa hi kisiki cha mpingo