😂😂😂😂Endelea kumbonda maana naona kama anatikisika hivi huenda yuko hai..
Lakini Spain wakiwa kwenye ubora wao hawana tabia kutoa vichapo virefu kwa wapinzani wake.Spain watatupia chuma 3 wavuni leo, Oyarzabal header.
#Hallelujah!!!
Timu France wanaombea apite Belgium tuHawa watoto wa Spain wana uwezo mzuri sana kukaba
Yoyote yule aje.Timu France wanaombea apite Belgium tu
Unahofia spain na ndo anakufata lazima mteme bungoYoyote yule aje.
Embu nenda kale bwashee njaa ndo inakufanya uzungumze hiviSpain atakaa kirahisi sana