SawaSubiria ball liishe mkuu
Endelea kumbonda maana naona kama anatikisika hivi huenda yuko hai..Kwahiyo kwa maana yako ni kwamba timu au mchezaji mwingine akipendelewa wanafanya hivyo ili ku balance kubebwa kwa Messi na Argentina???
Wakiibeba Man U ni ili wa balance?
Wakiibeba Madrid ni ili wa balance?
Kama ni hivyo maana yake unakubali Ronaldo Ballon D'or ya 2013 hakustahili na alibebwa??
Sasa hizo story zako kuwa hajawahi kubebwa zimetoka wapi????
Usinishirikishe kwamba mi najua kitu ambacho sikijui...Messi uwezo wake unajulikana, mpira mi nawe tunauona wala sijawahi kufikiria kuwa Ronaldo ana uwezo mkubwa na habebwi na Messi ana uwezo mdogo ila anafanikiwa sababu anabebwa
Unaishi dunia ipi??
Ballon D'or zote alibebwa
Makombe yote amebebwa
Magoli yote kabebwa
Vitu vyote anavyofanya uwanjani ni sababu ya kupendelewa na FIFA
Wachezaji, makocha, waandishi wa habari wanaosema ni bora wameambiwa waseme hivyo na FIFA???
Rooney katumwa na FIFA
Zlatan pia
Henry??
N.k
Bro grow up
Usitumie nguvu nyingi kueneza hatred yako kwa Messi na Argentina kwa story za kuokoteza
🤣🤣🤣vyovyote tuUnataka akutane na France?
Uandishi wako unatia uvivu kusoma, uwe unaweka paragraph basi.Kwahiyo kwa maana yako ni kwamba timu au mchezaji mwingine akipendelewa wanafanya hivyo ili ku balance kubebwa kwa Messi na Argentina???
Wakiibeba Man U ni ili wa balance?
Wakiibeba Madrid ni ili wa balance?
Kama ni hivyo maana yake unakubali Ronaldo Ballon D'or ya 2013 hakustahili na alibebwa??
Sasa hizo story zako kuwa hajawahi kubebwa zimetoka wapi????
Usinishirikishe kwamba mi najua kitu ambacho sikijui...Messi uwezo wake unajulikana, mpira mi nawe tunauona wala sijawahi kufikiria kuwa Ronaldo ana uwezo mkubwa na habebwi na Messi ana uwezo mdogo ila anafanikiwa sababu anabebwa
Unaishi dunia ipi??
Ballon D'or zote alibebwa
Makombe yote amebebwa
Magoli yote kabebwa
Vitu vyote anavyofanya uwanjani ni sababu ya kupendelewa na FIFA
Wachezaji, makocha, waandishi wa habari wanaosema ni bora wameambiwa waseme hivyo na FIFA???
Rooney katumwa na FIFA
Zlatan pia
Henry??
N.k
Bro grow up
Usitumie nguvu nyingi kueneza hatred yako kwa Messi na Argentina kwa story za kuokoteza
Potelea mbaliTatizo la afya ya akili ni kubwa sana kwako
Huyo akiweza kumtetea Messi, anaweza kuitetea na CCMEndelea kumbonda maana naona kama anatikisika hivi huenda yuko hai..
Ila kitu pekee ninachokupendea unajua sana kupangilia hoja, japo hoja zako ni utumbo mtupu 😅🤣😂Huyo akiweza kumtetea Messi, anaweza kuitetea na CCM
We are going to watch Good Football in few hours to come.Pedri hajaanza leo, sijui ni game plan au ana discomfort. Simuamini kabisa Fabian Luiz. Mungu atusaidie leo
View attachment 3626571
Clearly robbedEgypt celebrating little achievement they made after being robbed by FIFA
View attachment 3626569
Sawa ngoja tuoneHapana kabisa.
Kutoka ndani ya Moyo wangu! Sitashangilia Spain....
Hizo timu mbili naweka wazi kabisa, I don't love them.
Argentina & Spain