adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,865
- 38,028
Najua hilo , sababu naona Morocco Leo imetepeta sana ni swala la muda kuanza kuruhu magoliGoli haliko mbali
Najua hilo , sababu naona Morocco Leo imetepeta sana ni swala la muda kuanza kuruhu magoliGoli haliko mbali
Tupo joto sioMorocco akifungwa mbili tu naenda kulala
Hakuna uhalali, haihitaji uwe haters ili upinge hilo tukio kusababisha penalty, ila uhalisia hyo sio.
Basi ngoja afungwe tatu usilale kama hivyo ndio unavyotakaMorocco akifungwa mbili tu naenda kulala
Hata mimi nakubali.Hakuna uhalali
Unazungumzia on target,hata off target sijaionaTangu umeanza kucheki hii game morocco ana shot on target ngapi?
Hahaha bado 1 ukalale hahahaMorocco akifungwa mbili tu naenda kulala
NaneeeeeeeeeeeAnzeni kuhesabu
Hana Hata moyaaaTangu umeanza kucheki hii game morocco ana shot on target ngapi?