adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,935
- 38,124
Hata Mimi inanikatisha tamaa kama haipo mchezoni vile , kwa style hii sidhani kama atatoboa leoMorocco sio nnayoijua mimi, kulikoni
Hata Mimi inanikatisha tamaa kama haipo mchezoni vile , kwa style hii sidhani kama atatoboa leoMorocco sio nnayoijua mimi, kulikoni
Mpaka iisheNilitaka nikalale tu, maana nilishakata tamaa
Ile ya I'm back akiwa na begi inanichekesha sana 😂 😆
Siku zote nipo upande boraLeo umekua upande bomba sana shikilia hapohapo
😂😂😂Ile ya I'm back akiwa na begi inanichekesha sana 😂 😆
😂😂😂 huyu familia yetu WamorokoFamilia yenu?
Hafai kuwa timu ndogo vile aisee, hivi man u haioni wachezaji kama hawa?As Roma ya Italy