Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,013
Akikosa Mbappe sawa ila akikosa anko nzala kelele mingi yaani…
Huyu familiaPenati amepiga kizembe
Moroko wanachoka sasa hivi kujikimbizikimbiza
Nilitaka nikalale tu, maana nilishakata tamaaRaha sanaaa
Kabisa mkuuHii mechi mbona yanajirusia ya waarabu na Argentina
Au naona vibaya jaman
😁😁😁nmelogwa na talent yakeAndunje amekuloga wewe si bure