Rwiziringa Tactics
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 859
- 1,776
Mkubwa anacheza rafu sn
Mini GOATMorocco or France?
Nilisema makusudi nilijuwa wakorofi kama nyie mtakuja na criticism zenuKweli mkuu you're back home
View attachment 3626036
Mashabiki wa Ronaldo wamevaa jezi ya Portugal wanamuangalia MbappeUwanjani nyekundu imetawala inamaana mashabiki wengi ni wa upande wa Morocco ?
Naiheshimu football ila Canada sio France MkuuWalicheza hivi hivi vs Canada.