Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,530
- 16,066
Kila la kheri timu ufaransa
Mkuu huoni Ufaransa ndo kuna wa Afrika wengi kuliko MorrocoMungu ibariki Afrika
Unajua maana ya waafrika?Mkuu huoni Ufaransa ndo kuna wa Afrika wengi kuliko Morroco
Sawa mkuuNaitakia ushindi timu kutoka Afrika
Sawasawa au tuseme wenyehi wa bara la AfrikaWaliopo Africa
Mwafrika ni mtu yeyote mwenye ngozi nyeusiUnajua maana ya waafrika?
Sikulaumu usiku una mengiMwafrika ni mtu yeyote mwenye ngozi nyeusi
Dunia Leo inaenda kushangazwa mkuuDunia inaweza kushangazwa leo