Kwa ile beki bamia𤣠kina hari kin, godon na jude , wanapita na kwenda zao, England anajipigia kama vitoto, na mbaya zaidi kubeba Argentina vs England dunia itasimamašBila shaka Bia ipo kichwani muda huu Bwashee,
Kombe linarudi kwa mwenyewe.
Mechi nzuri kuangalia hii..Whatever the case Moroco hana team ya kuifunga France, yaani hata waombe msaada wa Egypt, bado ndani ya dk90 France anamuweka vzuri tu huyo Morocco.
Duh!..Naiona fainali ya ufaransa na England
Tunaipenda Morocco ila atoke tu, ili kuokoa dunia na pollutionMechi nzuri kuangalia hii..
Watu hamjawahi kushindwa kutabiriArgentina hawajawahi shindwa come back.
TumeonaNyie wajukuu wa kikongwe Ronaldo, mtake msitake Argentina anashinda hii game, iwe kwa halali au dhuluma š¤£š GOAT hawezi kutolewa na Egypt. Yaani leo hata red card itatoka tu ili Messi afuzu
Hao wanakufa nusu fainali dhidi ya England, zwizland wachimba chumvi tuTumeona
Kabisa,Argentina hawajawahi shindwa come back.
Mkuu pole sana. Kama una muda wa kuchezea bishana na Scars. Humu JF sijawahi kuona sehemu kashindwa kitu anachobishia hata kama wote mnaona kakosea. Jaribu kumfuatilia kwenye mada zingine anazoshiriki utaniambia. Mm humu hua nainjoi tu ubishani wake ila hua sitaki kuEngage kubishana nae maana siwezi kumzidi hata kama najua yupo wrong.matapeli siku zote wanakushawishi ufikirie kuwa hisia au ushahidi ulio nao mbele ya macho yako sio sahihi, na badala yake uamini kile wanachokwambia wao.
Matapeli pia hukataa kabisa makosa au ushahidi wa wazi unaowaonyesha ili kukulazimisha ukubali matakwa yao.
Mfano Messi ameonekana ana kiwango kizuri kuliko Ronaldo , unaona kabisa Argentina inasonga mbele na Messi anaendelea kupiga nyavu, halafu tapeli anataka kukuaminisha Messi si chochote...
Wewe huwezi kunitapeli..
Ninasimamia kile ninachokiona na kukijua badala ya kubadilisha mawazo yangu haraka pale unapopinga...
Bro, Messi ni Messi tu...
Da'Vinci
Acha utapeli Scars kama umechukia chukua jembe ukalime..
Sio kuwa tayari tuu, hapa ilipo naendelea kuyaweka madau kwa watu mbalimbali. Chagua pakuanzia Robo au Fainal?Vipi, uko tayari kuweka dau?
Jinamizi hili litakusaplaizi.... We kaa Paleeeh Subiri.Tena ndoto ya jinamiziš
Enyi Wanadamu wenye Imani haba, ni nani aliyewaroga?Morocco hamtoi France
HahaaaWaliona Swiz ni kama hawana akili..haya wakacheza Colombia na Argentina yao
Walimchukulia poaUswisi kumpiga Ni ngumu kidogo
Messi anabeba hii haina ubishiMr Pixel3a mkuu njoo utupe uchambuzi wako game ya Argentina vs Egypt jana uliionaje?
Najua we ni shabiki lia lia wa Messi
MmhNUSU FAINAL WATAPITA:
MOROCCO
ENGLAND
ARGENTINA
BELGIUM.
KOMBE ATABEBA ENGLAND KWAKUMTOA BELGIUM.
Kama naota Vile.
Watakua Catalunya huko.Mmh
Whr is Spain??
Mpira una maajabu yake, hamna aliye amini kama Paraguay wangemtoa mjerumani.Yani lukaku amfunge spain vp kuhusu morocco kumtoa France
Bwashee unatokea njombe sehem gani?
Kumbe ufaransa na England wapo njia moja , kukutana fainali haiwezekaniBila shaka Bia ipo kichwani muda huu Bwashee,
Kombe linarudi kwa mwenyewe.