2026 FIFA World Cup - Special Thread

Huwezi ku rule out kuwa kulikuwa na foul kwenye build up kuelekea goli la 3 La team fifa, wanabebwa sana hiyo ipo wazi
Nakukumbusha tuu, game ya Nigeria na South Africa. Nigeria walifunga goal lakini likaja kukatawaliwa baada ya kuonekana kuna faul alifanyiwa mchezaji wa South ndani ya 18. so Goal lao likafutwa na South wakapewa Tuta.

kuna utofauti gani na hili linalokuumiza?
 
Everything is ready for the ๐ซ๐จ๐ฎ๐ง๐ ๐จ๐Ÿ ๐Ÿ– ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ†๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ
#Hallelujah!!!
 
Asillimia kubwa ya wadau walikua washajipangia Argentina atakutana na Colombia as if Swiss ni kama watatolewa kirahisi ๐Ÿ˜‚
We mwenyewe mechi si umeiona Colombia alivyo dominate,maana tokea makundi walidominate mwanzo mwisho. Sema ndio Penalty hazina Gurantee sizani kama Switzerland kama atampa mechi ngumu Argentina.
 
Messi ana mabao 672 Barcelona, na mabao 122 Argentina yote alibebwa...?

Ronaldo ana mabao 186 ya penalty..
Messi ana mabao 116 ya penalty...

Sasa jitafakari nani alibebwa zaidi..
Mpaka sasa, Messi amepiga penati 145, kapata 113 na kukosa 34, sawa na 77.9%.

Christiano amepiga penati 211 na kupata 177, kukosa 32, sawa na 83.8%

Hata hivyo acheni kumuita Ronaldo.
Ronaldo wa ukweli ni R9 huyo wenu ni Christiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ