2026 FIFA World Cup - Special Thread

Wapare wanakuchora tu kwann wapareee๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Tatizo huyu waargetina atawaumiza mashabiki wake vibaya sana,wana kamdomo sana. Babe mpya olise kaibuka natamani aje Real Madrid
Mungu sio mpare jamani
Kheri goat wote watoke, tubaki na goat chipukizi babe Mbappe ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
 
Miss you too Bestie ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ Hope u mzima kama tambo za mashabiki wa Messi bila maumivu kama ya sie mashabiki wa mbuzi wa ureno
MI sijambo kabisa best. ๐Ÿฅฐ

Hahahaaa. Mi nilialikwa nishangilie Argentina ila aliyenishawishi hata simuoni hapa.

Mtani uko wapi lakini Greatest Of All Time. Uje kujibu mshambilizi huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ