T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,868
- 46,982
Nafasi hizo Spain walizitengeneza wao. Hata Portugal alikuwa na mwanya wa kuzitengeneza kuzitumia au kutozitumia. Ndio nilichoandika mwanzo, Portugal uchezaji wao sio wa kuridhisha kwenye kushambulia.Nafasi walizotengeneza Spain wangezipata Portugal wangekuwa wanaongoza bao 5 mpaka sasa