joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,446
- 41,610
Brazil wamezidiwa possession na Norway.
Hakuna cross za maana kabisa walizotupia ndani ya 45min, zaidi ya kupiga back passes.Amekabwa vizuri mkuu.
Akitulia atapata chumaAmingia na zali