2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Naona mechi imesogezwa mbele.

Mashabiki wa Uingereza wanakuwaga na vurugu sana mpaka kufikia hatua kupigana na mashabiki wa timu nyingine. Leo wamekutana na wahuni wa Mexico, ngojea tuwaone maana kuna mechi kama sikosei Euro walitolewa na Crotia, waliwapiga sana mashabiki wa Crotia leo wamekutana na wahuni,ngojea tuwaone je wakitolewa leo watafanya vurugu.
 
48f4f26978cdb38a74373ac2177cd29e.jpg

2002. Fainali za kombe la dunia. Nchini Japan.
Huyu kipa Oliver Kahn, kipa wa ujerumani.

Jamaa alipigwa 2 na Ronaldo, Huyu ndiye kipa wa kwanza katika historia ya michuano ya kombe la dunia kushinda tuzo ya uchezaji bora mwaka huo 2002.

Brazil kipindi hiko ilikuwa ya moto sana. Ilikuwa si rahisi kumfunga huyu jamaa. Katika match 6 kabla ya hio fainali Oliver kahn alifungwa bao moja pekee.
 
Brasil ya 94, 98, na 02 ilikuwa ni hatari.
 
Naona mechi imesogezwa mbele.

Mashabiki wa Uingereza wanakuwaga na vurugu sana mpaka kufikia hatua kupigana na mashabiki wa timu nyingine. Leo wamekutana na wahuni wa Mexico, ngojea tuwaone maana kuna mechi kama sikosei Euro walitolewa na Crotia, waliwapiga sana mashabiki wa Crotia leo wamekutana na wahuni,ngojea tuwaone je wakitolewa leo watafanya vurugu.
Mashabiki wa Mexico ndio wameanza uchokozi lakini
Wamewasumbua sana Wachezaji wa England kwa kelele hotelini kiasi washindwe kulala
 
Back
Top Bottom