Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,368
- 10,381
Kumbuka Messi ana mchezo mmoja mkononi tofauti na haohii inawachoma sana mashabiki wa messi,
walijiamulia kila kitu wenyewe
Kumbuka Messi ana mchezo mmoja mkononi tofauti na haohii inawachoma sana mashabiki wa messi,
walijiamulia kila kitu wenyewe
Kumbeee!!!Neymar aliweka battle na goalkeeper wa Norway
Morocco atapigwa achakae...Morocco wapo vizurrii kupigwa na france anaweza ila sio kiivo unavyodhani.
Ni lazima bila shakaAtawafunga Egypt ?
2010 kwenye WC ya bondeni paleSo far ndio mfungaji mzuri sasa.
Mbape na Messi kila mmoja anagoli la tuta hapo
Walikuwa wanajibizana kabla ya kupiga penalty na alivyofunga akamfuata kumsemea mbovuKumbeee!!!
Yeah huku wanaangalia sana assists2010 kwenye WC ya bondeni pale
Thomas Muller, Diego Forlan, David Villa na Wesley Sneijder wote walifunga goli 5 ila guess what nani alipewa tuzo ya mfungaji bora?
Thomas Muller alichaguliwa mfungaji bora wa mashindano kwakuwa alikuwa na assist 3 kushinda wenzake
Sio ramli mkuu ni kitu ambacho hakiwezekani mkuu . Messi na CR7 wamedumu kwenye game nadhani kushinda wote.Unapiga ramli
Anhaaa...nzuri hiyo2010 kwenye WC ya bondeni pale
Thomas Muller, Diego Forlan, David Villa na Wesley Sneijder wote walifunga goli 5 ila guess what nani alipewa tuzo ya mfungaji bora?
Thomas Muller alichaguliwa mfungaji bora wa mashindano kwakuwa alikuwa na assist 3 kushinda wenzake
Weka heshima kubwa sana kwa GOAT.. ndani ya hizo 7 goals hakuna penaldo humo.So far ndio mfungaji mzuri sasa.
Mbape na Messi kila mmoja anagoli la tuta hapo
Egypt anakaa vizurrii tu kidogo angekua Morocco ila misri hapanaNgoja tuone.
Egypt anaweza akaushangaza ulimwengu hapo kesho.
Tena saa moja tu
Tunachangamsha baraza sasa😂🔥Dah! Majungu yashaanza sasa.
🤣🤣🤣