Wamchukue pep, anceloti hana mbinu yaani anataka kucheza ball la ac Milan la mwaka 2004 huko😄tangu lini brazil ikawa na kocha sio mbrazil
Mexico/EnglandNorway atakutana na nani robo?
Hamna kocha ebu wee acha utani don carlo kocha mzuri kabisa acha tuu brazil hamna timu. Kasema yeye mwenyewe kocha zaidi yake ni Ferguson tuuu🤣🤣🤣🤣Anceloti hamna kocha mule kaka , zama na nyakati zao zishapita hana mbinu pia Brazil hana kitu😄
England au MexicoNorway atakutana na nani robo?
Arudi tuu kwaninshida iko wapi....Muingereza nae leo kuna uwezekano wakamrudisha kwao.
Itakuwa mechi kali sanaSasa sijui hiyo robo itakuwaje endapo England atampiga Mexico hapo baadae...
Namuona nusu FAINALMexico/England