Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,368
- 10,381
Kwa nini huamini wakati hii ni 16 boraAaah wapi🤣
Kwa nini huamini wakati hii ni 16 boraAaah wapi🤣
Kichwani ameivaa.Review ya Refa kamera yake inakuwa wapi ?
Wanakaba mpaka kivuli😂😂😂Ila Morocco kwenye kuzuia ni kisanga hawa jamaa...
Wanakaba mpaka kivuli😂😂😂Ila Morocco kwenye kuzuia ni kisanga hawa jamaa...
SIo kifuani kwenye FIFA?Kichwani ameivaa.
Yangekuwa yamerudi yote.Wangekuwa waafrica weusi hayo magoli yangekuwa yameanza kusawazishwa 😂
Mbona simuoni akiwa amevaa chochote kichwani au inapachikwa kwenye nywele ?Kichwani ameivaa.
Upo kama mimi tuu, yaani senegali waniharibia sanaNgozi nyeusi tuna laaana..
Mzuka wa World cup umekata kabisa..
Yaani wale Jamaa wametia aibuYangekuwa yamerudi yote.
Camera ipo kwenye sikio lake la mkono wa kushoto.SIo kifuani kwenye FIFA?
Ipo kulia kichwani imeambatana na moc ambayo hunasa sauti akitoa maamuzi ya VAR ama kusikia kama kuna maneno yoyote ya kashfa kutoka kwa wachezaji n.kReview ya Refa kamera yake inakuwa wapi ?
Angalia kwenye sikio la mkono wa kushoto,ni camera ndogo sana.Mbona simuoni akiwa amevaa chochote kichwani au inapachikwa kwenye nywele ?