100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,115
- 36,173
Inasikitisha sana..World Cup ina wenyewe.
Inasikitisha sana..World Cup ina wenyewe.
Hapa sasa Waafrika nadhani wao huwa wanakunywa vikali badala ya maji. Maana baada ya hapo mambo huwa vururuvururuDk 68
Hydration break
Ngozi nyeusi tuna laaana..
Mzuka wa World cup umekata kabisa..
Faulo ile?Canada Wamepata faulo kwenye eneo baya kwa Morocco
Mkuu ukishazaliwa Africa na ukaishi/ukajichanganya kwenye jamii za kiafrika kuna kiasi flani cha kujiamini na IQ kinapotea...Mbona hiyo hiyo ngozi nyeusi inafanya vizuri wanapochezea mataifa mengine?
Mfano France.
🤣🤣🤣Ndiyo ni faulo nje ya 18.Faulo ile?
Naona ashafika robo fainaliHata kufika robo tu kwao mafanikio.
Wapambane wafike hatua inayofuata ili vitabu vya kumbukumbu vya FIFA viwatambue hilo