Canada ataacha kukabia kwa juu atafunguka sasa kwa kupanic hapo ndipo ataongezwaGame sasa imekuwa ya Moto
Kwani ni uongo?..si Mwarabu kweli.Shida ya Morocco akishinda tu anaanza kusema yeye sio Muafrica 😂 ni Muarabu
World Cup ina wenyewe.Ngozi nyeusi tuna laaana..
Mzuka wa World cup umekata kabisa..
Sio laana mna mengi ya kujifunza kwa wazungu tofauti na kuamini uchawiNgozi nyeusi tuna laaana..
Mzuka wa World cup umekata kabisa..
Mbona hiyo hiyo ngozi nyeusi inafanya vizuri wanapochezea mataifa mengine?Ngozi nyeusi tuna laaana..
Mzuka wa World cup umekata kabisa..
Sahihi kabisa.Mbona hiyo hiyo ngozi nyeusi inafanya vizuri wanapochezea mataifa mengine?
Mfano France.
Hata kufika robo tu kwao mafanikio.Morocco ameshajua akipita hapo ataenda kukutana na Ufaransa, ashaanza kuona uvivu coz anajua hatatoboa kwa ufaransa
Akipita lazima tuji ndugulishisheShida ya Morocco akishinda tu anaanza kusema yeye sio Muafrica 😂 ni Muarabu