Mkuu Argentina hatoboi. Hua sikoseagi aisee. My guts are always rightHawapo hoi. Kipa wa Argentina mara ya mwisho kushika mpira dakika ya ngapi.
Hizo ni hisia tuuMkuu Argentina hatoboi. Hua sikoseagi aisee. My guts are always right
Ngoma ikienda matuta Argentina hatoboi. We utaniambiaHizo ni hisia tuu
Hatoki huyo mnae hadi mwisho.Vozinya kachoka anaziga kaumia apumzike 😃
nikeshe na game ya Ghana yaanze kulinda badala ya kucheza mpiraTunaunga na Ghana moja kwa moja
Muda wote unawaza mabaya tuMkuu Argentina hatoboi. Hua sikoseagi aisee. My guts are always right