Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Waleteeeeeeeeeeee kulaleki nimefurahi sanaWalete katiiii
Hahahaa shit just got interesting…Wamotooooo
Sure.Shida ya C. Verde ni ile ile kila mmaliziaji mbele anaataka kuuza sura. Ingekuwa wanapiga kazi kazi mbona Argentina wangekuwa na wakati mgumu zaidi.
Mechi tamu ila.