2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Uzembeeee
IMG_0690.jpeg
 
Mkuu Argentina hatoboi. Hua sikoseagi aisee. My guts are always right
Hawezi fungwa wakati hawashambulii. Sahau hizo ndoto, kama timu haishambulii ni ama adui awe hajui kushambulia basi asifunge au iwe na defense line nzuri.

Sasa Argentina ina wafungaji na bado mabeki wa CV wamechoka na kipa wao, na goli limetokana na uchovu huo.
 
Back
Top Bottom