Daah😂Voz kaenda kuweka ndagu sawa.
Mmekwisha.
😂😂😂Kuna moja hiyo Messi alipiga ikaenda kwenye mbupu pengine ameenda kucheki kama zipo
Na ile speed ya wacolumbia yatakaa nyuma yalenikeshe na game ya Ghana yaanze kulinda badala ya kucheza mpira
Yan wapo slow balaaaArgentina kama vile wanayataka matuta hawana haraka!
Au Bado wanaamini watawafunga mapema kabla ya matuta
👆👆👆👆👆 Niliandika dakika 5 nyumaKuna mawili, cape Verde wanaweza kumfunga Argentina au Argentina akampiga nyingi, hakuna matuta hapa