Angebaki huyo mngekuwa mnacheza pungufuWametoa GOAT wetu
Sio goalRefa alikuja na mAtokeo yake
Refa karekebisha makosa yake ya kuongeza muda usio halaliCroatia wamedhulumiwa goal lao wazi kabisa
Hii dhuruma italipwa mashindano hay haya
Offside ya wazi mwili mzima huioni au goli la Ronaldo lililokataliwa kwa kutanguliza mkono na sehemu ya kichwa nalo ni dhurma?Croatia wamedhulumiwa goal lao wazi kabisa
Hii dhuruma italipwa mashindano hay haya
Kwa taarifa yako Mechi Hii ndo inatoa Bingwa.Croatia wamedhulumiwa goal lao wazi kabisa
Hii dhuruma italipwa mashindano hay haya