Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,694
- 130,540
Potelea mbaliSio Australia ni Austria
Australia ipo mdomoni kwasababu ya umaarufu wa yule mwana mitindo
Potelea mbaliSio Australia ni Austria
Incident ya Messi kuanzia benchi ilipewa tafsiri ya u-hamble na mashabiki wa Barcelona sio kama aliongea yeye.Mkuu wewe ni chizi na sio pekee yako bali na mashabiki wote wa Real Madrid. Huko juu umesema messi anajifanya humble wakati sio so hamumpendi kwa hilo Yamal yeye sio humble anakupokea kadri ya ulivyokuja na yeye pia hamumpendi.
Messi hamumpendi kwakua ni mkimha eti anajifanya humble
Yamal hamumpendi kisa anamdomo sana sio humble. Sasa tuwaelewe vipi???
Daah! Nimecheka sanaTuko pamoja
View attachment 3620842
We vp? Star wa dunia Yamin Yamal ndio anaanza ku shine afu unataka aondolewe!!Austria atutolee spain tufurahi
Tumegundua kuna eneo akikaa anapendeza sana kwa hiyo usihofu Spain ikitoka wapi atakaa.We vp? Star wa dunia Yamin Yamal ndio anaanza ku shine afu unataka aondolewe!!
Yamal yamal yamal.
Umeyataka😀😀Naangalia mpira TBC now , quality kama imerekodiwa na Tacno Y3 wagiftishe