2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Scars kwa majaribio waliyofanya IC kama Amad angeanza 1st half walikuwa na nafasi nzuri ya kutoboa hii match.
Absolutely Mkuu, nimetoka kuelezea post mbili za juu yako.

Kocha kazingua.

Kitendo cha Kocha kumuacha Diallo nje ile kwangu naitafsiri kama ndio ilikuwa ni tiketi ya kuwarudisha Afrika.
 
Kuanzia leo afrika nitashbaikia Morocco tu. Yaani mechi muhimunkama hii mchezaji muhimu ananzia benchi duuh!
1000052942.jpg
 
Njia ya Brazil kama nyepesi hivi! Hawa Norway wanapigwa na Brazil mapema sanaaaa
Njia ya brazil kwenda nusu fainal
Kuna Norway, Mexico,ecuador, congo na england
Sijaona team ya kumzuia brazil
Wasiwasi upo kwa argentina kama brazil atafanikiwa kufika semfinal
 
Mnaoshabikia Norway hongereni, wale wa Ivory coast poleni, njia nyepesi ya kumaliza maumivu ni kutafuta timu nyingine ya kushabikia.
Any way nabadooooooo !!
 
Amad angeanza walikua na a better chance ya kupata magoli 1st half. Kuna 1-2 Pepe alikua anahitaji anakosa mtu wa kuconnect nae haraka.

Timu za Africa ni utopolo except Morocco tu.
Pepe pia kwenye 1V1 imekuwa ikimpa shida sana wakati Diallo hivyo ndio vitu vyake.

Goli alilofunga ni goli gumu sana mtu mwingine pale angehitaji usaidizi atoe pasi.
 
Kuanzia leo afrika nitashbaikia Morocco tu. Yaani mechi muhimunkama hii mchezaji muhimu ananzia benchi duuh!
View attachment 3619248

Nashangaa sana wanaojidai kuikataa Moorocco timu bora ya muda wote Africa na kushabikia hii mijitu yenye miili mikubwa akili kisoda. Senegal nao wakakandwa hadi mtu unashangaa huwa wanashinda vp.
 
Pepe pia kwenye 1V1 imekuwa ikimpa shida sana wakati Diallo hivyo ndio vitu vyake.

Goli alilofunga ni goli gumu sana mtu mwingine pale angehitaji usaidizi atoe pasi.

They pose a greater threat pamoja kuliko kumuacha Amad nje. Hiii game IC threw it away wajilaumu wenyewe. Tubaki na Morocco timu bora ya muda wote Africa.
 
Back
Top Bottom