adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,581
- 7,751
Mshua wa Hala huyo😀😀
Mshua wa Hala huyo😀😀
Mwenyew haamini kama kafungaSana, la hovyoo
Sana aiseee..daah mtoano huja na majonzi😀😀Ukitoa goli alilofunga hajawa na mchezo mzuri leo kabisa
Mzee sisi I'm back tunawasubiri😀😀😀Patrick Berg kiungo wa boli anajua sana
Utoto...angetoa assist hapo chaapHaaland ana traits za kiniga, sasa hapa alikuwa anakomaa kufunga bila kutoa pasi
View attachment 3619240
Waende wakachukue desa kwa MARTimu za Afrika zinaanza kuanguka moja baada ya nyingine. Ni kubaya
Serious?Mshua wa Hala huyo😀😀
Usihofu Morocco,Algeria na Egypt bado wapo na Senegal ikiwezekanaTimu za Afrika zinaanza kuanguka moja baada ya nyingine. Ni kubaya
Anamkimbiza messiHaaland ana traits za kiniga, sasa hapa alikuwa anakomaa kufunga bila kutoa pasi
View attachment 3619240
Somo kubwa sanaWaende wakachukue desa kwa MAR
That's good newsAnamkimbiza messi